iqna

IQNA

Press TV
Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV .
Habari ID: 3476094    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

TEHRAN (IQNA)- Hatimaye utawala wa Marekani umelazimika kumuachulia huru bila kumfugulia mashtaka mtangazaji wa Press TV , Bi. Marzieh Hashemi baada ya kumshikilia kizuizini kinyume cha sheria kwa muda wa siku 11.
Habari ID: 3471818    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/24

TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa usalama wa Marekani wamemkamata mtangazaji mashuhuri wa Televisheni ya Press TV Bi. Marzieh Hashemi ambapo wamemvua hijabu yake na kumlisha nyama ya nguruwe.
Habari ID: 3471809    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/17